MSASA Podcast

Kuna Maisha kwenye Siasa

Elisha Simon Season 3

Send us a text

Msasa wa leo umeingia na boti la mapema,  so pay attention maana kuna zawadi ya madini kutoka Thomas kibwana . Mchambuzi wa masuala ya kisiasa na ubobezi wa mauzo.