Tikvah's Podcast
The podcast seeks to inspire, educate, and connect Christians in navigating Christian living, family dynamics, faith-building, and impactful engagement with the world.
Tikvah's Podcast
Imani Kwa Mungu Au Imani Kwa Mbinu?-Episode 2
Use Left/Right to seek, Home/End to jump to start or end. Hold shift to jump forward or backward.
Katika episode hii tunachunguza namna ambavyo baadhi ya huduma na makanisa ya kizazi hiki yamehamisha watu kutoka kumtafuta Kristo kwenda kushikilia mbinu, ishara, na experiences za kiroho.
Kutoka matumizi ya mafuta, maji, udongo, vitambaa, prophetic acts, hadi “gymnastics” nyingi za kiroho , tunajiuliza: Je, hizi ni njia zinazotupeleka kwa Mungu, au zimekuwa distraction inayochukua nafasi ya ujumbe wa kweli wa Injili?
Kupitia mifano ya Yesu Kristo na mitume:
- Yesu kutumia mate na udongo kumponya kipofu,
- Kulisha watu 5000 kwa mikate na samaki,
- Petro kuponya kupitia kivuli chake,
- Paulo kupitia leso na vitambaa,
tunagundua jambo moja muhimu:
Walifanya miujiza, lakini hawakuwahi kujenga huduma zao juu ya miujiza.
Ujumbe wao ulikuwa mmoja:
Kuwaleta watu kwa Mungu.
🎙 Episode hii ni mwaliko wa kurudi kwenye Injili halisi, kumtafuta Kristo kuliko ishara, na kuhakikisha hatupendi “mkate” kuliko “Bread of Life”.
#ChristianPodcast #SwahiliPodcast #Injili #Faith #JesusChrist #ChristianLife #Truth #RelationshipWithGod
Na m, karibu tena mimi rafiki ako naduwiako Kristofa Lusiga Karibu kwene podcastyangu. Na katikebise duyopita tu izungumza hataria kwa mini mbinu kulikumu na leuna taka tuende hatua moje ninginembele kwa sa babu kunajambo mbalum Akunambbu anendere katika kanisa kiza zihiki hasa hasa katika badi ama kanisa ye afrika unajwa uki zumzeli swala la kwa mini mbinu kuliko kumamini mungu. Tumefika mahari mbapu vituma mafuta maji udongo vitamba rasoband zizi awuna mbinu tofutofotiza ma umbi mbazo paka tuna zipa majjina, tofoti tofauti akita alam, mm na eezi prophetic actsam bazu tunazifanyye. A lot of gymnastics zakiroho. Bina anza kuwa ma rufu kuliko yumba kristo mwenye. Na swale mbotu naposa ku jiuliza ni nije. Watu wana mtafuta mungu kweli. Aw wana tafuta tu experience, wana tafta tu ishara, wana tapta tu mi ujize, aw wana tafuta msaada waraka, kama viliani emergency kes zao wenyewe kwa jiria manufayao. Kwa sababu mtu wanaweza kuwa karebu na mazingira kirohoho, na familia kiroho, kanisa la kirohoho, lakini, mbali kabisa na mungu. Tu ki so ma kune mandiko tuna wona yesu kwa naya rifaja mi ujiza. Mingisang. Ali weku tumiamate, um na udongo kumponja ki pofu. Lakini bada hapu a tmuni yesu wa kizunguka, na kwasu kse manjoni ni kupake mafuta na udongo ili mpone. It ended there. Kwa nini. Kwa sabababu nunguvu, haikwa kwenye udongo ili kuwa kwa mungwa li kuwa aki hubiri a bariake naw fame mbuwa lienda ku tangaza. Miujize li kua tuni sara, lakini haikuwa kitu wambacua li enda kuki uza amatusell it out au kuki tangaza. Wakati mungine yesualiponye kwaku gusa, nawtawuna, ali kwana tu methodologies to fotofoto. Kunakata li gusa watu. Kuna watu ali sema tune no nawatoka pona. Wakati mungine, ali waponye watu wa tuamba ali mfwanu uli akida. Sendi. Kosbabu yeswa kutaka watu, wa shikilieye formula, amamfumo, flani, ama mbinu flani. Ali taka wamduye, ye na uyumbe wauzima ambalo kuwa amenenda kuleta kusu uzima na ufalma mungu. Pure kitabucha yohana swea sita, yesu adilisha alisha mikate, kutoka kwye mikate miri ni samakwa wini na mikate mikano mekate mmina samakwa tano. Lakinuje. Yesu lifana mwjizi alilisha watu. Zadia wtano. Kwa mikate na samaki. Angalia kinacho toke. Kili shutokeya nkitu mbacho kina tokeya sana ata kune ma zingira aleo. Kesuyaki wotwa kumfuata. Lakini yesu aligiwa kwamba. Hawa kumfwata kwa sababu wali npenda mwu. Wali mwalifuata mikate mbali, ali fanya mwjizaki dyanagi. Dio mana yesuwa kawambia. Kwene leohana sasasura sitam se na sita. Mnani tafuta, sikwa sababu mlione shar. Bali kwasababu mlikula mikate mkashiba. Fikir watu walikuwa tachina benefit. Si yo kweli adio yubir. Na yesu sasangalia hakusema kesuya kesama aya sasa. Kesho njo tena, mta produce miracles mingine. This is exactly what we do in our churches. Kwakuwa leo tulifanya a miracle, tulifanya a specific act, ikaleta mungiza. Tu nawambia wa tu kesho njooni, e tutafanya evitena, keshu inizaka, tutafanyye evitena keso ineza kwa sikuy ako nawewe. Badalayake. Instead of the next day ikuambia kwa, tuta kula mikate tena uku perform another miracle. Alianza kubiri ku su wokovu, uzima amilele, nayee ku wam kate uzima. Kitu mba sali diwa kitu kwa makwazo. Kwa watu wengi mbuwa lwa fanyye mugiza jenaki. Unyumbu kwa mwa gum san. Watu wakamwakuamish. Wali yon dok. Lakini natu kipena zedi hapa yesu siyotu haku wabemeleza. Wali on dok. Lakini, hakususha fi wangoviake. Na ekafika mak wwakati, aka wliza ali wanafunziwaki. Nanyye vipipi. Na taka kwondok. If you want to go, then go ahead. Leza sa ywana sula sitam sostina saba. Ambapu ali kwanawa ana ana uliza wanafuzwake. Kana pita kam dibi vizuria. Kambe s twenu wapi. Kwako, kuna mkatu wa uzima. So alifanya mi uliza mikate kwa dile wa tukula, lakini wwana funzi, wwali elewa udiumbe. They did not stick on the miracle. They stick on the message. Message ire kuwa mimi ndio mkate wa uzima. Mimi ndio chakula chawzima. Chakula chawzima sio mikate. Nlio alisha na samaki. Chakula chawzima ni mimi. So out of the miracles na miujize ambayo inafanyika. Kanisani. Kune jami kune makusanyiko. Kune jami zawamini. Mungwa na rusu mi ujiza itoke. So ili watu wa mini mungwa naweza kuwapa materio. Lakini ili watu wa mini mungwa nawajari. Kuwapa uzima. Waruhozao. You get the point. This is what Jesus' message was. Nahi nyndiu kuwa se hemu mwimia ujumbewaki. Sasan karia. Haiku shia kwa yesu tupe. Tuna kiona hi chata kwa mitume. Kwafano, petu aliponya watu kwa kutumiya kivuri. Kwematendo sula tano saru kuminatanu. Paolo naye awaponya watu wakutumia leso. Na bitamba. Kuni kita pchamatuwa mitumi sula yakumi na tisam sarwa kumi na moja mpakakuminambiri. Lakini hawoni petro, aki anzisha udumalona itwak abaka ipa jina psume kivuli service every Friday. He didn't do that. Na jiwa kwa mazingile a bongwa patungianza t ku kuvizia um dagani kiwwali dinaka, pa ili ki wuli chamtu musi kikipita kipunyewa tu. But po didn'd do that. Paulo haku akwanzisha a special anointed handkerchief ministry. Something that could have happened kwa jamialeo. Kwa nini. Kwa sa babu, wwali diwa. Mi ujiza irikwani matoke o tu. Nasio dumem kwaambo kwa me ubeba. Na wana dua jis watu can get attached to the miracles and not to the message. Napio li jifuza kutoka kwa wwana wa from the master. Wadi wona yesu wa ki fanyanya. Ha kweku mwana yesu wa ki promotes miracle acts awu events elzu sifanya. But always he stick to the message. Yesu, haku wai ku promote mu iza, kuli ko uyumbe aleu leta. Kira wakati ali hubiri uyumbe uliu aleita watu ku kwa mu. Sasa, duni aleo tulipofikiya sasa, tunaki, tuna kizazi yambacho kina takatu kukibiriya mafuta, kukibiya tu prophetic announcement, kuki mbiriya ishara na miu jiza, kuki mbiria izo na zita deliverance experiences. Lakini. Nikizazi mbacho hakina njaya toba, utakatifu, kweri, kweli ya mandiko, nakumiwa kristo kwa ndani ngama nawa kaveri nkitu chak shambakavili, it's a by the way thing. Many times unona watu wakiwa nahubiri wana zumze vitu nikaba by the nikama vle kitu tu chakwa tach iri ba dai uto ujumbe wwamujiza. Tomefanyye vice versa. Yesu nona nafuziwake, mi ujiza li kuwa by the way, so that they can bring the message of salvation. Lakini, we are living the generation yambayo. Ujumbe wa mujiza, ndiomkubuwa, allove the message of toba, the message of repentance, na kumbiwa mungu, na kumdua cristo, ni by the way. It is something that utakiskiya ba daya watoki wana malizia. Kama tu kutia muhuri, kwamba watachu kifana nkiju chokimuunggu, but literally what they're doing, they're promoting miracles. Na watu tubi kuwa fahamu na kua jiuwa wa uzaidi self-promotion, watu wafahamu kumba woni watu weny wanawini sanamungu, wano tenda sanami ujiza, wana ujuwa, kanuni nambinu zakiro, kwa jiria, kufani kiwa, katika maisha, nakatika vitu mba mbali, lakini, ujume ku su kristo natoba nam sama na kuwa leta watu kuamungu wa nau fija mbali. Kwa swa but it's not their priorities. It's not their priority. Kwa kuleta uumba ule kwa. Their priority is to promote themselves and their works. Unaweza uka uka penda mgufu zamungu. Lakini uusi pende kwe. Namtuanaweza kapende atmosphere awye fellowship saini si mungu katika kuhuziana nai. Many people play church squeeze. A lot of people. Naivu vituvi ki anderea sana kufanyika over and over again tara tibu uru mazinanza kujenguwa juya what walks on a crowd. Badalaya what brings people to God. And we get obsessed with that. We come with a lot of tactics, ways that can work to the crowds, and we forget the message of salvation. Very bad. No, myself, as an individual, as a person, I'm a testimony of miracles of God in my life. Ma ishangoyote mujiza. In many ways. I cannot even mention it's a lot. Because I mwiza, see how tatizo. Mungu badwana ponya. Mungu badwana tena. Mungu badwana nguvu. Lakini tatizo inanza party mbapo, isha la zina kuwa kubua, uliko yumbe wam kozi. Tunasema um the hook becomes more important than the hook. The hook ni mdwano. Andwanu ire um ya kuria samaki. The hook becomes more important than the hook. Wakati watu wanapenda mkate. Lakini hawataki the bread of life. De umana tunaitaji kuruli kone injeli halis. Tunaitaji kuruli kwa crystal. Tunaitajikuruli kwanyi u kweri. Wasababu mwishu ayote. Yesu hakufa ili to gengi addictions miracles. Ali kufa ili to rejeshue. Amen.