Tikvah's Podcast
The podcast seeks to inspire, educate, and connect Christians in navigating Christian living, family dynamics, faith-building, and impactful engagement with the world.
Episodes
10 episodes
I Will Build My Church: Have We Misunderstood What Jesus Meant? ft. Ps Rees Yakung
I Will Build My Church: Have We Misunderstood What Jesus Meant?In Matthew 16:18, Jesus made a powerful declaration: “I will build my church.” But what exactly did He mean by church?In this conversation with Ps. ...
The Kingdom Made Visible: Reflecting the Character of Jesus Ft Apostle Daniel Musokwa
What is the Kingdom of God, and how is it revealed through believers?In this episode, we sit down with Apostle Daniel Musukwa from New Testament Ministry to discuss the true meaning of God’s Kingdom. We explore how the Kingdom is ...
On-Stage Dopamine: Maisha Baada ya Applause
DESCRIPTIONNi nini kinatokea baada ya lights kuzimwa, microphone kuwekwa chini, na crowd kuondoka?Katika kipindi hiki cha Tikvah Podcast, tunazungumzia upande ambao mara nyingi hauonekani wa public praise—pressure ya ku-maintain i...
AI, Ibada na Kanisa: A Conversation with Pastor Delphinus Rwegasira
Katika episode hii ya Tikvah Podcast, tunakaa na Pastor Del kuzungumza kuhusu Artificial Intelligence na nafasi yake ndani ya Kanisa.Je, AI inaweza kutumika kama tool kwenye worship, teaching, na Christian content creation? Au Kanisa lin...
AI na Ubunifu wa Injili | Je, AI Inaua Creativity au Inaiinua? | Ft. Innocent Mwagilo
Katika sehemu ya kwanza ya mfululizo wetu kuhusu AI na Ubunifu wa Injili, tunazungumza na Innocent Mwagilo — Music Producer, Songwriter na Sound Engineer.Katika mazungumzo haya tunachunguza namna Artificial Intelligence (AI...
Yusufu: Kivuli cha Kristo
Simulizi la Yusufu siyo tu hadithi ya kutoka gerezani kwenda ikulu. Ni picha inayotuelekeza kwa Kristo.Yusufu alikuwa mwana aliyependwa na baba yake, akakataliwa na ndugu zake, akauzwa kwa fedha, akateseka bila hatia, na hatimaye akainul...
Imani Kwa Mungu Au Imani Kwa Mbinu?- Part 3
Katika Episode hii nimefanya mazungmzo na kaka yangu na mwalimu wangu Faith Joel Shimba Kuhusu namna kanisa limejikuta likibobea katika shughuli za kiroho na kusaua kuhusu Mungu
Uchambuzi wa Nyimbo-Kitabu by Paul Clement
Tumejadili kuhusu live record ya wimbo wa Paul Clement Kitabu(Ajabu) wimbo unapatikana kwenye Youtube channel yake Paul Clement pamoja na Digital Platform zote, tumejadili kuhusu ubora wa utunzi ubora na ubora wa videoKaribu kusikiliza
Imani Kwa Mungu Au Imani Kwa Mbinu?-Part 2
Katika episode hii tunachunguza namna ambavyo baadhi ya huduma na makanisa ya kizazi hiki yamehamisha watu kutoka kumtafuta Kristo kwenda kushikilia mbinu, ishara, na experiences za kiroho.Kutoka matumizi ya mafuta, maji, udongo, vitamba...