Linnet Talks

Let Them Dissapoint You. Epi2

Linnet Season 1 Episode 2

Use Left/Right to seek, Home/End to jump to start or end. Hold shift to jump forward or backward.

0:00 | 9:06

Katika Episode hii ya pili ya:"Let Them Dissapoint You", tunaangalia matarajio ya watu ambayo yamewaumiza sana. Ni muendelezo wa wazo la podcast ya iliyotangulia ya "Ulipoteza Wapi Self Confidence Yako?". Kutokana na matarajio ya watukatika maisha yetu kuwa "perfect" au kuwa vile tunataka tunawapa shida kwa kujiangalia wenyewe, matokeo hata ya kuwaadhiri kisaikolojia na kuwavunja nguvu yao ya kujiamini au kuwa huru. 

Kama wewe ni miongoni watu waliojitathmini na kuona ni watu wenye mategemeo makubwa au wameshawahi kuwa dissapointed, hii podcast ni kama maji ya kunywa kwao. Kukupa ahueni au utulivu wa mawazo kwa kuwaacha watu wawe "Real" hata wakikuvunja moyo.