Linnet Talks
Linnet Talks are all about socio-cultural issues, things that are a heartbeat of our communities; Family, Children, Young people and the most important of them all You. We dive deep into honest talks that make the listener look inwards and see life from a different outlook. These podcasts are for deep thinkers and transformers: people who want to change their lives for the better.
There are no gray zones, just clear lines and the truth, leaving the audience with a fresh perspective of life. These podcasts are in Kiswahili language, the Language of the East African community and the diaspora who still remember their African language.
Podcasting since 2026 • 3 episodes
Linnet Talks
Latest Episodes
Let Me Be Real With You. Epi3
Maisha ya kila siku yanataka mahusiano ya kweli na halisia, kikwazo ambacho kina wanyima watu wengi kufurahia mahusiano mbalimbali ni HOFU. Hofu ya kuwa "Dissapointed", ndio maana katika Epidode ya Pili ya "Let them Dissapoint You" niligusia kw...
•
Season 1
•
Episode 3
•
12:06
Let Them Dissapoint You. Epi2
Katika Episode hii ya pili ya:"Let Them Dissapoint You", tunaangalia matarajio ya watu ambayo yamewaumiza sana. Ni muendelezo wa wazo la podcast ya iliyotangulia ya "Ulipoteza Wapi Self Confidence Yako?". Kutokana na matarajio ya watukatika mai...
•
Season 1
•
Episode 2
•
9:06
Ulipoteza wapi Self Confidence yako?
Hii podcast ni kioo cha kujiangalia kwa yule ambaye anahofia kuwa amepoteza "Kujiamini" kwake. Imewazungumzia wanawake ila hata mzazi wa mtoto wa kike pia anaweza akapata mwanga, kujua ulezi wa watoto wa kike unawajenga vipi kuwa wanawake wanao...
•
Season 1
•
Episode 1
•
25:03