Linnet Talks

Mzazi, Niache Nilivyo.

Linnet Season 1 Episode 4

Use Left/Right to seek, Home/End to jump to start or end. Hold shift to jump forward or backward.

0:00 | 20:31

Je unafahamu kwamba mtoto anaweza akaanza mawazo ya kuondoa uhai wake akiwa na miaka mitano. Tafiti zinaonyesha kwamba watoto wadogo hata wa miaka 5 wameshawahi kujaribu kuondoa maisha yao na wengine wakafanikiwa.

Unafahamu ni mbinu gani ambazo unaweza tumia kama mzazi, ili usikutane na tatizo hili. Karibu usikilize episode hii iliyobeba tunu za kukuwezesha mzazi kumuandaa mtoto kuwaajili ya kufikia mategemeo yako.