Innocent Morris
Kujifunza Neno la Mungu, Kukua Kiroho, Uhusiano na Roho Mtakatifu, Maombi
Innocent Morris
Latest Episodes
JINSI YA KUCHOCHEA MOTO WA MAOMBI Part 4 - Innocent Morris
Je, unahisi maisha yako ya maombi yamepoa? Je, unatamani kurudi kwenye ule uwepo na nguvu uliokuwa nayo mwanzo, au unataka kwenda viwango vingine vya juu zaidi kiroho?Katika sehemu hii ya Tatu (Part 3) ya somo hili utajifunza kwa ...
JINSI YA KUCHOCHEA MOTO WA MAOMBI Part 2 - Innocent Morris
Je, unahisi maisha yako ya maombi yamepoa? Je, unatamani kurudi kwenye ule uwepo na nguvu uliokuwa nayo mwanzo, au unataka kwenda viwango vingine vya juu zaidi kiroho?Katika sehemu hii ya Pili (Part 2) ya somo hili utajifunza kwa ...
JINSI YA KUCHOCHEA MOTO WA MAOMBI Part 1 - Innocent Morris
Je, unahisi maisha yako ya maombi yamepoa? Je, unatamani kurudi kwenye ule uwepo na nguvu uliokuwa nayo mwanzo, au unataka kwenda viwango vingine vya juu zaidi kiroho?Katika sehemu hii ya kwanza (Part 1) ya somo hili utajifunza kwa kina...
JINSI YA KUTUMIA DAMU YA YESU - Innocent Morris
Katika somo hili utajifunza jinsi ya kutumia damu ya Yesu kwa kina sana. Damu ya Yesu ni silaha hatari sana ambayo Mungu ametupatia, lakini ni lazima tujifunze namna ya kuitumia kwa imani katika maisha yetu ya kila siku."Nao w...
THAMANI YA DAMU YA YESU | Kwa nini Damu ya Yesu ni ya thamani sana? - Innocent Morris
Katika somo hili, utajifunza kuhusu thamani kuu ya Damu ya Yesu Kristo na kwa nini ilimwagika kwa ajili yetu. Biblia inatufundisha kwamba kupitia Damu ya Yesu tumepata msamaha wa dhambi, ukombozi, upatanisho na Mungu, na ushindi dhidi ya nguvu ...