Innocent Morris
Kujifunza Neno la Mungu, Kukua Kiroho, Uhusiano na Roho Mtakatifu, Maombi
Episodes
111 episodes
MAOMBI YA UPONYAJI - Innocent Morris
Haya ni maombi ya uponyaji kwa wagonjwa. Omba kwa imani utapokea uponyaji wako."Yeye mwenyewe alizichukua dhambi zetu katika mwili wake juu ya mti, tukiwa wafu kwa mambo ya dhambi, tuwe hai kwa mambo ya haki; na kwa kupigwa kwake mlipon...
•
34:49
MAOMBI YA ASUBUHI - Innocent Morris
Haya ni maombi ya kuomba kila siku asubuhi. Asubuhi yako anza na Bwana. Mtangulize Bwana katika siku yako, katika kazi yako, katika biashara yako, katika interview, katika safari, katika kila eneo la maisha yako.Hakika utamuona Bwana Ye...
•
23:35
JINSI YA KUFUNGA MFUNGO SAHIHI KIBIBLIA - Innocent Morris
Katika somo hili utajifunza JINSI YA KUFUNGA MFUNGO SAHIHI KIBIBLIA, utajifunza hatua kwa hatua namna ambavyo Biblia imeelekeza mfungo sahihi na wenye kuleta matokeo. Hakika ni somo zuri sana litakalo kusaidia katika maisha yako ya maombi.<...
•
1:05:41
MAOMBI YA KUOMBEA MWAKA 2026 - Innocent Morris
Karibu kwenye maombi maalum ya kuombea mwaka 2026! Katika naombi haya, tunamwomba Mungu kwa ajili ya ulinzi, baraka, mafanikio, na mwongozo wake kwa kila siku ya mwaka huu mpya. Tukiwa na imani, tunatangaza ushindi juu ya kila changamoto na kus...
•
1:43:25
UNABII WA MWAKA MPYA 2026 | Innocent Morris
Katika podikasti hii utapata kujua Mungu anasema nini juu ya mwaka huu mpya wa 2026. Utapata neno la kutembea nalo mwaka huu wote. Na pia utapata ahadi za Bwana juu yako maisha yako katika mwaka huu mpya wa 2026.Pia utajifunza nam...
•
22:10
MAOMBI YA KUNG'OA MAPANDO YA ADUI -Innocent Morris
Omba Mungu aondoe kitu chochote kilicho kaa ndani yako ambacho kinakuzuia usisonge mbele katika eneo lolote la maisha yako.MSTARI:"Akajibu, akasema, Kila pando asilolipanda Baba yangu wa mbinguni litang'olewa."Mathayo
•
1:33:53
JINSI YA KUSHINDA UVIVU WA KUOMBA - Innocent Morris
Uvivu wa kuomba ni adui mkubwa wa ukuaji wa kiroho. Wengi tunajua tunapaswa kuomba, lakini mara nyingi tunajikuta tumechoka, tunasahau, au hatuna hamu kabisa ya kuomba. Katika somo hili, utajifunza kibiblia namna ya kushinda uvivu huu wa kuomba...
•
1:06:28
JIFUNZE KUAMKA USIKU KUOMBA - Innocent Morris
Kuna nguvu ya kipekee inayofichwa kwenye maombi ya usiku! Na maombi ya usiku ni maombi yenye matokeo makubwa katika maisha ya mtu. Katika somo hili utajifunza hatua kwa hatua jinsi ya kujizoeza kuamka bila kuchoka na kufurahia maom...
•
58:28
JINSI YA KUOMBA MAOMBI YA NADHIRI - Innocent Morris
Karibu ujifunze jinsi ya kuomba maombi ya nadhiri.Katika somo hili utajifunza namna sahihi ya kibiblia ya kuomba maombi haya, utajifunza mambo muhimu ya kuzingatia kabla ya kufanya maombi haya, na pia utajifunza ni wapi ulipokuwa unakos...
•
1:05:49
SIRI TANO ZA KUOMBA MAOMBI YENYE NGUVU - Innocent Morris
Je, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya maombi hujibiwa na mengine hayajibiwi? Je, unatamani kuwa na maisha ya maombi yenye nguvu na yenye matokeo? Ikiwa umechoka kuomba maombi yasiyo na majibu na uko tayari kuona mabadiliko, basi vid...
•
1:03:06
MAOMBI YA UJAZO WA ROHO MTAKATIFU
Je, unatamani kujazwa na nguvu ya Roho Mtakatifu ili maisha yako ya kiroho yabadilishwe kabisa? Je, umekuwa na kiu ya kupokea kipawa cha Roho Mtakatifu na kutamani kunena kwa lugha mpya? Omba sasa maombi haya kwa imani na Mungu wa mbinguni atak...
•
57:38
MAOMBI YA KUOMBA ROHO YA UNYENYEKEVU - Innocent Morris
MAOMBI YA KUOMBA ROHO YA UNYENYEKEVU - Innocent MorrisKatika maombi haya tutamwomba Mungu atujalie roho ya unyenyekevu. Kupitia maombi haya, tunaweka mioyo yetu mbele za Bwana tukijifunza kutembea kwa unyenyekevu, kutii Neno lake na kue...
•
40:38
MAOMBI YA KUOMBA MUNGU AWE PAMOJA NAWE - Innocent Morris
MAOMBI YA KUOMBA MUNGU AWE PAMOJA NAWE - Innocent MorrisKaribu katika maombi haya ili kuomba Mungu awe pamoja nawe katika kila eneo la maisha yako. Tunamhitaji sana Mungu katika maisha yetu kuliko kitu kingine chochote. Kwa hiyo chukua ...
•
1:16:52
MAOMBI YA UKOMBOZI KWA DAMU YA YESU | Deliverance Prayers - Innocent Morris
MAOMBI YA UKOMBOZI KWA DAMU YA YESU | Deliverance Prayers - Innocent MorrisKaribu kwenye maombi haya ya ukombozi kwa Damu ya Yesu Kristo.Damu ya Yesu ina nguvu ya kuleta uponyaji, uhuru, msamaha na ushindi dhidi ya nguvu zote za...
•
1:15:28
Innocent Morris - Umuhimu wa Kuanza Siku na Bwana.
Katika episode hii, Mtumishi Innocent Morris anafundisha juu ya umuhimu wa kuanza siku yako pamoja na Bwana. Ujumbe huu unaleta mwanga juu ya nafasi ya Mungu katika kila mwanzo wa siku zetu na jinsi ushirika wa kila asubuhi ...
•
29:59
Faida Za Kukaa Kwenye Uwepo wa Mungu
Ubarikiwe sana.Innocent Morris+255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnectFacebook Page: Holy Spirit ConnectYouTube Link: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp)
•
29:06
Jinsi ya Kukua Kiroho (Sehemu ya Sita)
Ubarikiwe sana.Innocent Morris+255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnectFacebook Page: Holy Spirit ConnectYouTube Link: ...
•
Episode 6
•
30:00
Jinsi ya Kukua Kiroho (Sehemu ya Tano)
Ubarikiwe sana.Innocent Morris+255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnectFacebook Page: Holy Spirit ConnectYouTube Link: Holy Spirit Connect
•
30:00
Jinsi ya Kukua Kiroho (Sehemu ya Nne)
Ubarikiwe sana.Innocent Morris+255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnectFacebook Page: Holy Spirit ConnectYouTube Link: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp)
•
Episode 4
•
30:00
Jinsi ya Kukua Kiroho (Sehemu ya Tatu)
Ubarikiwe sana.Innocent Morris+255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnectFacebook Page: Holy Spirit ConnectYouTube Link: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp)
•
Episode 3
•
30:00
Jinsi ya Kukua Kiroho (Sehemu ya Pili)
Ubarikiwe sana.Innocent Morris+255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnectFacebook Page: Holy Spirit ConnectYouTube Link: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp)
•
Episode 2
•
30:00