Tenda Radio TZ Podcast
TENDA RADIO ni ‘podcast radio’ iliyojikita katika kuwafahamisha, kuwaelimisha na kuwahamasisha wasikilizaji kuhusu fursa za tenda za Serikali, na jinsi ya kupata fursa ya kujipatia fedha za ununuzi wa umma kupitia Mfumo wa NeST.
Pia, maudhui haya yanaruka kupitia radio washirika wetu nchini Tanzania ikiwemo Radio Free Afrika, C-FM (Dodoma), A FM (Dodoma), Uyui FM (Tabora), Jembe FM (Mwanza) na nyingine.
Imepewa nguvu na Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA).
Tenda Radio TZ Podcast
HATUA TATU MUHIMU KUPATA TENDA ZA SERIKALI
•
Tenda Radio TZ
•
Season 1
•
Episode 2
Use Left/Right to seek, Home/End to jump to start or end. Hold shift to jump forward or backward.
Hii ni sehemu ya pili ya Tenda Radio inayokupa hatua tatu muhimu za jinsi ya kupata tenda za Serikali. Tumeyajenga na Afisa Mtendaji Mkuu wa BRELA, Bw. Godfrey Nyaisa na Meneja wa Huduma za Kanda wa PPRA, Bi. Vicky Mollel.. Walioshinda tenda za Serikali pia kupitia Mfumo wa NeST wametupatia siri ya ushindi wao.