Tenda Radio TZ Podcast
Episodes
8 episodes
MABILIONI YANAVYOTOLEWA KWA WATU WENYE ULEMAVU KUPITIA MFUMO WA NeST
Zaidi Shilingi Trilioni 5 ya Tenda za serikali iliyotengwa kwa ajili ya makundi maalum yaani vijana, wanawake, wazee na watu wenye ulemavu inakusubiri wewe?Sikiliza msimu mpya wa Tenda Radio. Jumatano hii tukupe code ya k...
FURSA ZA SHERIA MPYA YA UNUNUZI WA UMMA, NEEMA NA ADHABU
Tenda Radio imefanya mahojiano maalum na Mkurugenzi wa Huduma za Sheria wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), Wakili Msomi Paul T. Kadushi, amefunguka fursa zinazopatikana kwenye sheria mpya ya ununuzi wa umma ya Tanzania. ...
JINSI YA KUPATA KIASI CHA BAJETI MPYA YA SERIKALI KUPITIA MFUMO WA NeST, TUKO BUNGENI
Tenda Radio Sehemu ya 5 inazungumzia jinsi ambavyo wazabuni wa Tanzania wamepewa upendeleo maalum kwenye sheria mpya, na jinsi ambavyo wanaweza kupata sehemu ya Bajeti ya Serikali iliyotangazwa bungeni (2024/25). Ndani, utamsikia N...
Jinsi watumiaji wanavyokuwa salama kwenye Mfumo wa NeST
Hii ni sehemu ya Nne ya Tenda Radio, ambapo pamoja na mambo mengine, tumezungumzia usalama wa watumiaji katika Mfumo wa NeST. Tumezungumza na Mkurugenzi wa Mifumo ya TEHAMA ambaye pia ni Meneja Mradi wa Ujenzi wa Mfumo wa NeST, Bw. Mic...
FURSA YA ZAIDI YA SH. 104 BILIONI, NA JINSI YA KUPATA SEHEMU YA BAJETI HII
Usiikose hii. Tusikilize upate fursa, ubadili maisha yako kiuchumi. Tenda Radio imekita kambi jijini Arusha, kuzichambua fursa ya bajeti ya zaidi ya Sh. 104 Bilioni zilizowekwa kwenye Mfumo wa NeST na Halmashauri ya Jiji la Arusha,...
HATUA TATU MUHIMU KUPATA TENDA ZA SERIKALI
Hii ni sehemu ya pili ya Tenda Radio inayokupa hatua tatu muhimu za jinsi ya kupata tenda za Serikali. Tumeyajenga na Afisa Mtendaji Mkuu wa BRELA, Bw. Godfrey Nyaisa na Meneja wa Huduma za Kanda wa PPRA, Bi. Vicky Mollel.. Walioshinda tenda za...
JINSI YA KUPATA TENDA ZA SERIKALI KUPITIA MFUMO WA NeST
#KIMEPEWA NGUVU NA PPRA #KAMATA FURSAUnawezaje kupata Tenda ya Serikali kwa haki kupitia Mfumo wa NeST? Kipindi hiki kitakufungua kuhusu jinsi ambavyo unaweza kupata tenda za Serikali (zabuni za umma) kupitia Mfumo wa NeST, na kupata sehemu...