MAELEZO PODCASTS

Hotuba ya Mhe. Rais Samia na Mhe. Rais, Paul Kagame, Mei 03, 2026

Tanzania Information Services Department (Idara ya Habari-MAELEZO)

Use Left/Right to seek, Home/End to jump to start or end. Hold shift to jump forward or backward.

0:00 | 13:16

Send us Fan Mail

Rais wa Rwanda, Mhe. Paul Kagame, amefanya ziara ya siku moja nchini Tanzania, akizungumza na mwenyeji wake, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuhusu ushirikiano na kukuza uchumi wa pande zote, Mei 3, 2026.

Viongozi hawa walikubaliana kuendelea kukuza biashara na uwekezaji kwa kuondoa vikwazo vya kikodi, ili kunufaika na masoko ya kikanda ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA).


Support the show

Msemaji Mkuu wa Serikali

SPEAKER_00

Mishmiwa Polka Gamira iswayamhuria Rwanda Washima wazili Kutoka Tanzania Rwanda mliopuapa Ndugwana Habari Mabibi na Mabuana Habari Zamchana Kama mduwavi undugwana habari Tanzania Rwanda siotu ma girani Balipia nidugu na marafiki. Uundugu nawrafiki wetu niwa historia. Ulianza mia kamingi ukokabla kutawaliwa, woto wawili. Injo sababu tamaduni meila na de sturi, zina fanana nawatwetu pia ni wwamoje. Serikalizetum bilili zimekwazi ki shrikiana kwa karibu, katika ngazi ewili, kikanda na ki mataifa. Ususa nkupitiya jumwe Afrika ma shariki, umoja wa Afrika yumuia zainchi zisizo fungamana na upande wwote. Napia umoja wwamataifa. Mwakaifumuya misa sabina sita, tizaitumbili zilianza tume zilianzisha, tumeya kudumea pamoja u Shirkiano JPC, kutana wakum nasita u tumehi ulifanika wwakajana, mwenzi Julai, kule kigali chini Rwanda. Kupita tumehii u nchizaitumbili, za shirkiana katika nyanja za biashara, wekezaji, kilimo, nishati mafuta, mewundumbenu usafiri, lakinipia uli nzi na u salama, na wwamiyajipia. Kwawjumla, mudanfuku li upita tu metoka kwe mazungumzo, tulianza mazungumzo yandani, mimi na mushimwara esi, lakinipia tu meekama mawazirwetu, na mawsawetu, tumeja diliana, mambokaza, na kuba katekahilo ni biashara na wekezaji, eli kuza chumizetu, kwafura kabisa ni wambije tu kwamba, biasharayetu kati ya Rwanda na Tanzania, i mekuwa hadi kufikia shilingi bilioni miyasita benane, mwakajana, lakini pia, kwanziya mwatisina saba, mwzimachi, ahadi muzimachi, mwakahu, mamlaka ya wwekezaji, Tanzania. Imesajili jumla miradi arbain nambili. Kutokanchini Rwanda, yye inzamania dollas amerikani, millioni miya tatu shinatano, kuantano, bazo zime zimezalisha, zimeajiru wa Tanzania ilfumbili miyambili shinatano. Nimchango mkuwa konyo chumiwetu. Aiza koupande wa Tanzania, zipo bazia kampuni zizwekezan chini Rwanda, iki wemu nyingitu, Bahresa, magodoro do Doma, discount center, jumbo plastic, sugar enterprises, sagar enterprises, buffalo traveling tours, maxumo Africa, Gasabo Grain Milling Company, LCM Delta Company, Famoja na Metrics Integrated Consultancy, Tamakuna nyengini ni mezisahao, zita ni samel akini kamponi nyyingi zime kwenda kwekeza kulepiya. Sasalicha yakwambba ta kwimuhizo, zina tia moyo, kwenye biyaxara yetu tumekubaliana kwendelea ku shirikiana, ilikuza biashara na wekezaji hususan, kwenye kuondwa vi kwazo visivo viakikodi, vi kwazu vutevia ki biashara, tuzunggo mze tu viondowe inli tuweze ktumiavizuri, soko la pamoja, la Afrika mashariki, la kenipia soko huriye la Afrika. Kwando uchukuzi na mundombinu, vile vile, tumeguusia likukuza biashara na wekezaji, tuekubaliana kwendelea kwwamarecha mwdombinu u safiri, na bore shaiwa uduma za usafiri, kwasiofa hamta kwimuzina onesha kuwa ta kriban, asilimiya sabinia shihina za Rwanda, inapitia katika bandari za Tanzania. Ambapawastani wa tani milioni moja poinsita, kila mwaka, tuna petisha kwenda hi kwenda Rwanda, na ni wajibwetu, wasababu katika region, sisi njotu tumeja liwa kwana bandari, na wenzetu awana bandari kwayo, ni wajibwetu kuwa hudumia. Na tuli zungumza natuka kubaliana, uweka huduma maalum, kwanchi kwa biza, zanchiya Rwanda. Lekini vile vile tumezungzia ujenzu wa barabara zina zungganisha nchizetu mbili na reli pia, ili kuharakisha biashara. Tume tumia fusahio kuyadili mradi wa Reli, kutoka ujenski kipandecha reli a isaka, hadi kigali, amba yo itakwenda ku hamasisha u kuharakisha, safili shadi wwabiza. Kwa pande wa ni shati, tu namradi wa pamamoja kati Rwanda Burundi na Tanzania, uni mradi wa umeme wamajo mapumokwa rusumu, ambao una tuzalishia umeme mega wati zamanini, na tume kubaliana sasa tuka ozindu erasmi. Ume sha anzakazi lakini tuka uzindu erasmi. Pamoja nahayo kuna makubaliano, amba po shirikaletu la umeme tanesko, na shirika la umeme la Rwanda reg R Iji wataanza kuziano umeme, kwa jila kuchuchiaza Idi, ma endele wea ki uchumi. Maineu mengini ambayu tume zungumziana, ni masuala mazima yamawasiliano, katietu mausiliano, diaza mawasiliano, ulemkongo, wamaasiliano, tiayari nduzetu wa Rwanda wana tumia la kinu wanaiteji uduma zaidi, tume kubaliana tuzungumze tu kubaliane, ili twendile ku tumia uduma hio. Hatuku sahau maswala, yakuhaki kisha nchizetu mbeli, zinakuwa salama, na zinakuana utuulif, wo haiyo kufupi diyo tulyo zungumza, tume zungumza uširkiano katika nyanja zakimataifa, mbako katie tumoja mwyeswali lolote, konye nyanja hizo ta kwenda kusaidiana. Kwawfupi hayanibazi tua maswala tulyoja diliana, mengine kama ni mesahao moshmoara izi ata ongeza ta kapapo zungbumza, lakini kwanya bayenu ni tumiefusahi, kurudia tena, kumshukuru, mushmwara iskagami, kwakuja kututenbelea Tanzania. Naba dakse mahaio sasa, nimkaribishi mushmora iskagami, nayeye haunge nany wandishua bai.

SPEAKER_01

Mushimwa isikaribisan excellency Same Sulul Hassan, President of the United Republic of Tanzania, honorable ministers, members of the media, distinguished ladies and gentlemen. Let me begin by thanking you, Madam President, for the warm welcome extended to me and my delegation. It is always a pleasure to be here. Today the president and I had very constructive discussions building on the long-standing relationship between our two countries. Now Tanzania water kwa kudumisha, nwema, naundugu, katia inchized tanzania nikungum him c to kwa rwanda lakimi kwa majani wengine pierdir slam nfano moja twoa myeneu mengi yakio chumi muhim sana w chetu. Washimi a rais to now jukumu panya by uh one chwetu kwa kicha to indeleza na quimarisha uh shikiano katia and chizetu na jumia thefrika mashariki kwaujumla. Tanzania is indeed a key partner for Rwanda. Over the years we have strengthened our partnership across many sectors, particularly trade and logistics, facilitating Rwanda's connections to global markets. The President and I discussed how to build further on this foundation, ensuring that our systems are well equipped to manage the growing volume of business between our two countries. We are encouraged by the progress already achieved and look forward to the full implementation of our joint projects. Our collaboration within the East African Community and the African Union anchors this work in a wider framework of regional integration. At this time of geopolitical uncertainty, our region must remain focused and united around a shared vision of prosperity and cooperation. Rwanda is currently in the period of commemoration of genocide against the Tutsi of 1994. But we shall soon have the opportunity to publicly recognize some Tanzanian citizens whose actions during that time demonstrated exceptional heroism and compassion. Madam President, Rwanda is determined to work closely with Tanzania for the benefit of all our citizens. As for other important issues we discussed, Madam President, I want to say you have well and fully covered them. And for us, we are looking forward to working with you and your team of leaders to move our development agenda, the development agenda of Tanzania and Rwanda together forward at full speed. Let me again, Madam President, ladies and gentlemen. Thank you for your kind attention.