MAELEZO PODCASTS

Elimu ya Hisa, Hati Fungani, Uwekezaji

Tanzania Information Services Department (Idara ya Habari-MAELEZO) Season 2 Episode 10

Use Left/Right to seek, Home/End to jump to start or end. Hold shift to jump forward or backward.

0:00 | 45:04

Mazungumzo na Imani Mhingo, Mtaalamu wa Elimu ya Fedha na Mitaji ya dhamana kutoka Benki ya CRDB kuhusu elimu ya hisa; nani anatakiwa kuwa na hisa? uvumi upi usio wa kweli kuhusu hisa? Angalizo na namna ya kutengeneza faida kwa njia ya umiliki wa hisa.

Support the show

Msemaji Mkuu wa Serikali