MAELEZO PODCASTS

Aina Tatu za Saratani Zinazoathiri Maisha ya Wengi Nchini.

Tanzania Information Services Department (Idara ya Habari-MAELEZO)

Use Left/Right to seek, Home/End to jump to start or end. Hold shift to jump forward or backward.

0:00 | 51:23

Katika kujenga uelewa kuhusu ugonjwa wa saratani, kupitia Maelezo Podcast tumemualika Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Saratani kutoka Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI), Dkt. Chrispin Kahesa, tumezungumza kuhusu saratani na namna inavyoathiri makundi mbalimbali katika jamii, jitihada za kuzuia na tiba ya saratani.

Support the show

Msemaji Mkuu wa Serikali